NA SMAUJATA HABARI,
NJOMBE – TANZANIA.
25 October 2024
Mkuu wa idara ya Elimu SMAUJATA mkoa wa Njombe Shujaa Mwl. Michael Ngilangwa amewaasa akina mama,licha ya changamoto wanazopitia,wasihamishie hasira zao kwa watoto.Wawapende na kuonesha ushirikiano mzuri kwa watoto. Ameyazungumza hayo akiwa kwenye kipindi cha radio Ice Fm iliyopo wilayani Makambao mkoani Njombe, akichangia mada iliyosema “MATUMIZI YA LUGHA ZA MATUSI KWA WATOTO NI UKATILI”.
Shujaa Ngilangwa amesema mtoto anahaki ya kusikilizwa kwa kila jambo na mzazi utamwongoza kwenye jambo jema. Alisisitiza akina baba kuchukua nafasi zao katika familia, wasiwaache akina mama kujiita “single mothers”. Aidha amewataka wazazi,walezi na wanajamii kwa ujumla kuacha matumizi ya lugha zisizo na staha hususani matusi kwa watoto au mbele ya watoto, kwani kufanya hivyo kuna mwathiri mtoto kiasaikolojia hata uwezo wake wa kufikiri vyema darasani kunapungua. Pia ameomba sheria itekelezwe kwa wote wanaotumia lugha za matusi mitaani wachukuliwe hatua Kali iwe fundisho kwa wote
Shujaa Mwl. Michael Ngilangwa amewaomba watoto watoe taarifa kwa majirani, balozi, Mtendaji, mashujaa wa SMAUJATA, polisi pindi waonapo dalili za vitendo vya ukatili baina yao au mtu mwingine.
Kataa Ukatili Wewe ni SHUJAA, SMAUJATA.
TANZANIA BILA UKATILI INAWEZEKANA.
slot88monperatotositus slot terbaiksitus gacortoto slotslot gacorpengeluaran hksitus totositus togelsitus totokampungbetsitus togeltoto slottoto slotbandar toto macautoto slotslot gacorkampungbetsitus totoresult macauslot gacor hari iniprediksi hktoto slotrtp slot hari initoto slottoto slotslot gacor hari initoto slothttps://ijins.umsida.ac.id/data/https://polreskedirikota.id/slot gacorslot 4dslot 4d