Category Machapisho

Matumizi ya lugha za matusi kwa watoto ni Ukatili.

NA SMAUJATA HABARI, NJOMBE – TANZANIA. 25 October 2024 Mkuu wa idara ya Elimu SMAUJATA mkoa wa Njombe Shujaa Mwl. Michael Ngilangwa amewaasa akina mama,licha ya changamoto wanazopitia,wasihamishie hasira zao kwa watoto.Wawapende na kuonesha ushirikiano mzuri kwa watoto. Ameyazungumza hayo…