Category Elimu

Machapisho ya ni kwa ajili ya kutoa elimu zaidi kwa watu wasiojua smajuta ni nini

MALENGO YA KAMPENI YA SMAUJATA

Malengo ya Kampeni ya SMAUJATA 1. Kutambua na kutengeneza mtandao wa jamii wenye uwezo wa kupaza sauti kupinga, kupambana na kutokomeza ukatili dhidi ya Jinsia Zote Wanaume, wanawake, watoto na wazee. 2. Kuelimisha na kurahisisha utambuzi na ufanyiwaji kazi wa…

Unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto

Unyanyasaji wa watoto kijinsia Kuelewa Jinsia na Unyanyasaji wa Watoto UtanguliziUnyanyasaji wa watoto ni ukiukaji mkubwa wa haki za watoto na unaweza kuchukua aina nyingi, ikiwa ni pamoja na unyanyasaji wa kimwili, kihisia, kingono, na kutelekezwa. Tunapozingatia athari za jinsia…