ZIARA YA KATIBU WA KANDA YA KASKAZINI SHUJAA EZEKIEL TLANKA MKOANI ARUSHA

Na SMAUJATA HABARI – ARUSHA April 14;2025 Katibu wa SMAUJATA Kanda ya Kaskazini, Shujaa Ezekiel Tlanka, amefanya ziara rasmi katika Mkoa wa Arusha ambapo alipokelewa kwa heshima na Mashujaa wa SMAUJATA wa mkoa huo, wakiongozwa na Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa…