Mwenyekiti wa SMAUJATA Taifa Afanya Ziara ya Kufana Mkoani Mtwara.

Na SMAUJATA HABARI -MTWARA Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA) Shujaa Sospeter Bulugu, hivi karibuni alifanya ziara ya kikazi mkoani Mtwara yenye mafanikio makubwa. Ziara hiyo ililenga kuimarisha shughuli za Jumuiya na kuunga mkono juhudi…



