Mashujaa wa SMAUJATA Arusha Wawakumbatia Wanafunzi wa Ketumbeine: Mbegu za Haki na Usawa Zapandwa!

April 02,2025 SMAUJATA – ARUSHA Leo imekuwa siku ya matumaini na hamasa kwa Jumuiya yetu ya SMAUJATA! Mashujaa wetu kutoka Arusha wamefanikiwa kufikisha ujumbe muhimu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ketumbeine kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid. Ilikuwa…