Uratibu wa shughuli za kijamii kuhusu masuala ya ustawi na maendeleo Katavi

Na SMAUJATA habariKATAVI26 October 2024. Viongozi SMAUJATA wa mkoa Katavi wakiongozwa na Mwenyekiti mkoa Shujaa Razack Salim,Katibu SMAUJATA mkoa Shujaa Edward Nswima wakiambatana na Viongozi wa Wilaya ya Mpanda Mwenyekiti Shujaa Dachi Dades,katibu shujaa Othmani Mbarouk wamefanya Mazungumzo ya kina…