SMAUJATA INALAANI MAUAJI YA MWANAFUNZI ELIZABETH MAGUHA.

Dar es salaam, 24 April 2025. TAARIFA KWA UMMA. Hekima na Umoja; Kwa huzuni kubwa, Mwenyekiti wa Jumuiya ya SMAUJATA Taifa Shujaa Sospeter Bulugu, na Menejimenti ya SMAUJATA, imepokea taarifa za mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha Ustawi wa Jamiiā¦