SMAUJATA DAR YAMREJESHA SHULENI MTOTO ALIYETELEKEZWA KWA BIBI HANDENI.

Na SMAUJATA – Dar es salaam, April 13/2025 Uongozi wa Smaujata mkoa wa Dar es salaam, ukiongozwa na Shujaa Mary Mwangaba;katibu na Shujaa huki katibu hamasa mkoa, tukishirikiana na maafsa ustawi wa mkoa wa Dar es salaam kata ya Kigogo,…