SMAUJATA Pwani & Manyara Washiriki Kikamilifu Uzinduzi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa: Ishara ya Mshikamano, Amani na Maendeleo

Tarehe 3 Aprili 2025 – KIBAHA Jumuiya ya SMAUJATA (Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii) imedhihirisha tena dhamira yake thabiti katika kuunga mkono juhudi za kitaifa za kuleta maendeleo, amani na mshikamano. Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa wa Manyara,Shujaa Philipo…