NA SMAUJATA HABARI MBEYA Dc
Aprili,2025

Katibu SMAUJATA Wilaya ya Mbeya Dc Shujaa ELIA MWANKWASYA Amemtembelea kijana mwenye tatizo la afya yaani Uvimbe katika sehemu ya Shavu Kwa muda wa Miaka 4.
Katibu aliongoza na Naibu Katibu Shujaa Elisha Mwaiteleke, baada ya hapo walikaa na Familia namna ya kumsaidia Huyo kijana.
Kwa pamoja wazazi wakaishirikikisha Serikali pamoja na SMAUJATA ili Mgonjwa aweze kupata Msamaha wa Matibabu kupitia Afsa Ustawi wa Eneo husika.
Baada ya ushirikiano huo , mgonjwa alie taabika Kwa muda wa Miaka minne , Sasa anaenda kupata matibu katika Hospitali ya Muhimbili iliopo Jijini Dar es salaam.
Tunawashuku Mashujaa wote Kwa ushirikiano huo na kuibua hilo jambo kwani Imani yetu mwenzetu anaenda kupona Kwa pamoja tumuombee.



