TAMKO RASMI LA JUMUIYA YA SMAUJATA KUHUSU MABINTI WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WALIOMDHALILISHA BINTI MWENZAO.

Dar es Salaam, 23 April 2025. Hekima na Umoja; Jumuiya ya SMAUJATA kupitia Idara ya Wanafunzi, Vyuo na Vyuo Vikuu SMAUJATA inashtushwa na kulaani vikali tukio la ukatili wa kinyama uliofanywa na wanafunzi dhidi ya mwanafunzi mwenzao, kwa kile kinachodaiwa…