SMAUJATA Liwale Yakutana na Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii.

NA SMAUJATA LIWALE – LINDI Aprili 03,2015 Katika jitihada za kuimarisha maendeleo na ustawi wa jamii, Jumuiya ya Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA) Wilaya ya Liwale imekutana na Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa…