Category Machapisho

SMAUJATA YASHIRIKI KATIKA GENDER-BASED VIOLANCE[GBV] SENSITIZATION WORKSHOP iliyoandaliwa na GHFOUNDATION (Promoting Health&Equality,Inspiring Hope)

Na SMAUJATA Habari 12.04.2025 Theme:Strengthening Mult-Stakeholder Collaboration in GBV Response. Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu, GH FOUNDATION na Uongozi wa SMAUJATA Taifa kunichagua kuwa mwakilishi katika mafunzo haya muhimu yaliyofanyika leo trh 12.04.2025 kuanzia saa 3:30 asubuhi – 10:30…

KUMBUKIZI YA SIKU YA KARUME

Aprili 07,2025 Mwenyekiti wa SMAUJATA Shujaa Sospeter Bulugu, Kwa niaba ya Menejimenti ya Jumuiya ya SMAUJATA anawatakia Heri ya Kumbukizi ya Hayati Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Siku hii ni muhimu sana katika…