WANAWAKE SMAUJATA MKOA WA MWANZA WAJA NA MBINU KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Na SMAUJATA HABARI MWANZA03/04/2025 Wanawake na Wasichana SMAUJATA Mkoa Wa Mwanza Wamekuja na Mbinu Mpya katika Kujikwamua Kiuchumi Ikiwa Na Lengo la Kuzitumia Fursa zinazotelewa Kwa Sasa na Serikali ya Awamu ya Sita Inayo Ongozwa na Jemedari Rais Samia Suluhu…